Overblog
Edit post Follow this blog Administration + Create my blog
03 Sep

AFIKISHWA MAHAKAMANI KWA KUMUITA RAIS MAGUFULI KILAZA...

Published by elipidius geofrey  - Categories:  #MATUKIO

Ni mkazi wa Dar es salaam Elizabeth Asenga mwenye umri wa miaka 40, amefikishwa katika Mahakama ya Mkazi Kisutu kwa Tuhuma za kuandika maneno ya kumkashifu Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Rais John Pombe Magufulikupitia mtandao wa kijamii wa What's app. akiwa kizimbani Wakili Chalu alidai kuwa Mnamo terehe 06 Augost mwaka huu, mtuhumiwa huyo aliandika kwenye mtandao wa What's app ujumbe huu;
"....Rais kilaza kama huyu wetu, angalia anampa Lissu umashughuli...f****I** lile, kwanza picha yake ukiweka ofisini ni nuksi tupu na ukiamka ukakutana na picha yake, siku yako inakuwa ina mkosi mwanzo mwisho." Ata hivyo mshtakiwa alikana kesi hiyo huku wakili wa Serikali akidai kuwa, upelelezi wa shauri hilo bado haujakamilika. Kesi hiyo imeahirishwa mpaka September 22 mwaka huu.

STARZTZ

AFIKISHWA MAHAKAMANI KWA KUMUITA RAIS MAGUFULI KILAZA...
Comment on this post

About this blog

Kwa matangazo mbalinbali wasiliana nami kupitia, 0714260485,0759110974