Overblog
Edit post Follow this blog Administration + Create my blog
23 Aug

VIDEO:MREMBO ANAYEONGOZA KWA KUPIGA SELFIE KATIKA MAZINGIRA HATARISHI DUNIANI...

Published by elipidius geofrey  - Categories:  #MATUKIO

Katika habari nilizonazo leo ni pamoja na hii ya huyu Mrembo anayejulikana kama Angeja Nikolau, kwa muda sasa watu wamekuwa wakiendelea kupiga picha mbalimbali na katika maeneo mbalimbali katika mtindo wa Selfie lakini aliyokuja nayo huyu Dada inashangaza kweli kwani majipatia Umaarufu kupitia picha zake hizi. Ameonekana akipozi katika Mapaa yanyumba, Madaraja marefu na majengo marefu sana huko Moscow, Hong kong na China.

STARZTZ

VIDEO:MREMBO ANAYEONGOZA KWA KUPIGA SELFIE KATIKA MAZINGIRA HATARISHI DUNIANI...
VIDEO:MREMBO ANAYEONGOZA KWA KUPIGA SELFIE KATIKA MAZINGIRA HATARISHI DUNIANI...
VIDEO:MREMBO ANAYEONGOZA KWA KUPIGA SELFIE KATIKA MAZINGIRA HATARISHI DUNIANI...
VIDEO:MREMBO ANAYEONGOZA KWA KUPIGA SELFIE KATIKA MAZINGIRA HATARISHI DUNIANI...
VIDEO:MREMBO ANAYEONGOZA KWA KUPIGA SELFIE KATIKA MAZINGIRA HATARISHI DUNIANI...
VIDEO:MREMBO ANAYEONGOZA KWA KUPIGA SELFIE KATIKA MAZINGIRA HATARISHI DUNIANI...
Comment on this post

About this blog

Kwa matangazo mbalinbali wasiliana nami kupitia, 0714260485,0759110974