Overblog
Edit post Follow this blog Administration + Create my blog
09 Aug

MSHINDI WA BSS MWAKA JANA 2015 KAYUMBA AELEZA HAYA JUU MATUMIZI YA HELA YAKE...

Published by elipidius geofrey  - Categories:  #VIJIMAMBO

Ni msanii kutoka katika Zao la Bongo Star Search 2015, Kayumba Juma amefunguka kueleza namna milioni 50 alizoshinda kwenye Shindano la Bongo Star Search zilivyotumika.
Msanii huyo amefunguka haya na kusema "Kiasi nilichokichukua kilikuwa ni milioni 50 ambazo zimetumika katika matumizi yangu ambapo sasa hivi niko kwenye ujenzi wa Nyumba yangu mpya iliyopo maeneo ya Mbagala, na pia nimenunua usafiri wangu mpya wa kuzunguka hapa na pale kwenda Studio na sehemu zingine"- Kayumba

STARZTZ

MSHINDI WA BSS MWAKA JANA 2015 KAYUMBA AELEZA HAYA JUU MATUMIZI YA HELA YAKE...
Comment on this post

About this blog

Kwa matangazo mbalinbali wasiliana nami kupitia, 0714260485,0759110974