Overblog
Edit post Follow this blog Administration + Create my blog
23 Aug

AFANYIWA OPERESHENI NA KUTOLEWA VISU 40 TUMBONI...

Published by elipidius geofrey  - Categories:  #MATUKIO

Mtu wangu kama unavojua kila siku yanatokea mambo mengi Duniani, kuna yanayofurahisha , kuchekesha na mengine yanayohuzunisha. Leo nimekuletea hii habari mpya na yakushangaza kweli iliyotokea huko India. August 22 2016 raia wa India mwenye umri wa miaka 42 ametolewa visu 40 ndani ya Tumbo lake baada ya opereshenialiyofanyiwa Hospitali ya Noththern India City of Amritsari Punjab India iliyofanyika ili kuokoa maisha yake.

STARZTZ

AFANYIWA OPERESHENI NA KUTOLEWA VISU 40 TUMBONI...
AFANYIWA OPERESHENI NA KUTOLEWA VISU 40 TUMBONI...
Comment on this post

About this blog

Kwa matangazo mbalinbali wasiliana nami kupitia, 0714260485,0759110974