Overblog
Edit post Follow this blog Administration + Create my blog
22 Jul

ZE MAJANGAZI!! JAMAA ALIPWA KWA KUBIKIRI WATOTO NA KUFANYA NGONO NA WAJANE...

Published by elipidius geofrey  - Categories:  #VIJIMAMBO

Eric Aniva alimaarufu kama 'Fisi' anayesemekana kuwabikiri watoto 10 Malawi.
Katika hali ya kawaida kwa tamaduni nyingi kote Duniani mwanamke anapoolewa huwa ni fahari sana endapo akiwa na bikira mathalan ni dhihirisho kwamba mwanamke huyo amelelewa na kutunzwa vyema na wazazi wake ama walezi wake, pia ni dhihirisho la usafi wa mwanamke. Licha ya hayo yote Nchini Malawi katika jamii moja haithamini Ubikira wa watoto wao wa kike, aamini usiamini wazazi huwa wanamlipa mwanaume ambaye ni maarufu kama Fisi kumbikiri binti yao punde tu anapopata hedhi yake ya kwanza kwa imani kuwa binti ambaye ni bikira ni mkosi kwa jamii!!

STARZTZ

ZE MAJANGAZI!! JAMAA ALIPWA KWA KUBIKIRI WATOTO NA KUFANYA NGONO NA WAJANE...
Comment on this post

About this blog

Kwa matangazo mbalinbali wasiliana nami kupitia, 0714260485,0759110974