VIDEO: HUU NDIO MWONEKANO MPYA WA STUDIO YA WCB...
Ikiwa ni mwezi na siku kadhaa hivi toka tuliposikia kwamba Studio ya WCB kufungwa kwa muda kwaajili ya matengenezo, sasa imekamilika na huu ndio mwonekano mpya wa Studio hiiyo. Imeonekana kati ya picha zilizokuwa ukutani kuna na picha ya Alikiba iliyoonekana kuongelewa sana na Mashabiki. Usikae mbali mtu wangu kwani naendelea kukuletea vitu vizuri zaidi.