Overblog
Edit post Follow this blog Administration + Create my blog
10 Jul

USIKOSE LEO MECHIKALI YA FAINALI LEO KATI YA URENO NA UFARANSA...

Published by elipidius geofrey  - Categories:  #MICHEZO

Mtu wangu ukiwa unasubilia kwa nguvu mchezo mkali utakaochezwa leo mchezo wa fainali ya michuano ya Euro 2016 kati ya timu ya taifa ya Ureno dhidi ya taifa ya Ufaransa huu ni mchezo ambao utachezwa katika uwanja wa Stade De France wenye uwezo wa kuchukua mashabiki 80000.

STARZTZ

USIKOSE LEO MECHIKALI YA FAINALI LEO KATI YA URENO NA UFARANSA...
Comment on this post

About this blog

Kwa matangazo mbalinbali wasiliana nami kupitia, 0714260485,0759110974