Overblog
Edit post Follow this blog Administration + Create my blog
03 Jul

STORY:JAMAA AFANYA BONGE LA SHEREHE BAADA YA MKE WAKE KUFUZWA KAZI...

Published by elipidius geofrey  - Categories:  #VIJIMAMBO

Akizungumza na STARZTZ Bwana huyo alisema, wakati anamuoa mwanamke huyo hakuwa na kazi, lakini baadae mwanamke huyo alikuja kutafutiwa kazi na Ndugu yake katikaKampuni moja ya simu akawa analipwa kama milioni 3 kwa mwezi wakati huo mimi mshahara wangu hauzidi laki sita, akaanza fasheni na yeye yeye na fasheni, vipodozi vya kila aina, handbag na nywere za laki mbili ndio mshahara wake ukawa unaishia huko, hapiki hafui hafanyi kazi yoyote ndoa ikawa inaelekea kuvunjikia huko, nikaamua kwenda Mahakamani kuprocess talaka wakasema mpaka nianzie balaza la usuruhishaji la kata au kanisa, nikaamua kwenda kanisa tulilofungia ndoa tukaitwa na baba paroko, mie nikatinga na mabajaji ya kukodi yeye akatinga na RAVA4, tuliongea lakini ikafikia hatua Paroko akaniita pembeni na kunambia kijana hapa ata tukipiga neno la mapambio ya kizungu ndoa yako haitaludi fanya kutafuta pesa huyu ni mchaga katumwa pesa mjini.Nilisali usiku na mchana mala mshahara wangu ukaongezeka mala mbili plus marupurupu juu angarau, Baada ya miezi miwili sina hili wala lile mala nilishangaa mke wangu ananipigia ananiambia wamefukuzwa kazi wote na kampuni imeuzwa. Hataleeeeeee ilirukaruka kwa furaha sana nikawapigia simu mashkaji tukaenda kunywa bia na Nyama choma mpaka saa sita usiku kabla ya Askali wa makonda hawajatutia malungu, kwasababu nilijua hisho ndicho kinachonialibia ndoa, na alipata bahati hawezi kupata kazi kama ile.Akajalibu kufanya biashara yoyote bila mafanikio alijifanya hajui kupika sasa anapika kuliko wapishi wa Kempinski, kufua anafua kuliko dobi, kitandani alijifanya mbabe sas yupo vizur kuriko wacheza shoo wa Koffie Omopao. RAVA 4 imepaki ananilelea watoto kwanini nisimshukuru Mungu???

FUNZO: Wanawake msijisahau sana pale mnapokuwa na pesa kuliko wanaume.

STARZTZ

STORY:JAMAA AFANYA BONGE LA SHEREHE BAADA YA MKE WAKE KUFUZWA KAZI...
Comment on this post

About this blog

Kwa matangazo mbalinbali wasiliana nami kupitia, 0714260485,0759110974