Overblog
Edit post Follow this blog Administration + Create my blog
21 Jul

REBECA GYUMI AJIPANGA KUFANYA HILI BAADA YA KUSHHINDA KESI YA NDOA ZA UTOTONI...

Published by elipidius geofrey  - Categories:  #HABARI

Mwanzoni mwa mwaka 2016 Mkurugenzi wa shirika lisilo la kiserikali, Msichana Initiative linalotetea haki za wasichana kupata elimu Rebeca Byumi alifungua shauri Mahakamani kupinga kifungu cha 13 na 17 cha Sheria ya Ndoa kinachoruhusu mtotot wa kike kuolewa akiwa na umri wa miaka 14 kwa kibali cha Mahakama, na 15 kwa Makubaliano ya wazazi.
Maamuzi ya Mahakama ni kwamba Serikali kupitia mwanasheria mkuu kujipanga kuvirekebisha vipengere hivi tata ndani ya mwaka mmoja. Kwenye interview hii Rebeca Gyumi ameeleza mpango wao baada ya kushinda kesi hiyo, "Tuna mpango wa kukaa na kuangalia ni kwa jinsi gani tutaweza kuwahusisha wadau wote muhimu ili kuendelea kutoa elimu kwa jamii, kwa sababu ni muhimu sana kwa jamii kuweza kuelewa athari ya ndoa za utotoni."

STARZTZ

REBECA GYUMI AJIPANGA KUFANYA HILI BAADA YA KUSHHINDA KESI YA NDOA ZA UTOTONI...
Comment on this post

About this blog

Kwa matangazo mbalinbali wasiliana nami kupitia, 0714260485,0759110974