Overblog
Edit post Follow this blog Administration + Create my blog
24 Jul

RAIS JOHN POMBE MAGUFULI ACHAGULIWA KUWA M/KITI MPYA WA CHAMA CHA MAPINDUZI...

Published by elipidius geofrey  - Categories:  #MATUKIO

Ni July 23, 2016 katika Ukumbi mkuu wa CCM wa Mjini Dodoma alipochaguliwa M/kiti mpya wa Chama cha Mapinduzi baada ya aliyekuwepo Mhe Rais Mstaafu Jakaya Mrisho Kikwete.Kwa mujibu wa kura zilizopigwa ni 2398, Zilizohalibika ni 0, kura halali 2398, kura za Ndio 2398 na kura za hapana ni 0, kulingana na matokeo hayo Mhe Jakaya Mrisho kikwete alimtangaza Mhe John Joseph Pombe Magufuli kuwa M/kiti mpya wa chama cha Mapinduzi (CCM).

STARZTZ

RAIS JOHN POMBE MAGUFULI  ACHAGULIWA KUWA M/KITI MPYA WA CHAMA CHA MAPINDUZI...
RAIS JOHN POMBE MAGUFULI  ACHAGULIWA KUWA M/KITI MPYA WA CHAMA CHA MAPINDUZI...
RAIS JOHN POMBE MAGUFULI  ACHAGULIWA KUWA M/KITI MPYA WA CHAMA CHA MAPINDUZI...
RAIS JOHN POMBE MAGUFULI  ACHAGULIWA KUWA M/KITI MPYA WA CHAMA CHA MAPINDUZI...
RAIS JOHN POMBE MAGUFULI  ACHAGULIWA KUWA M/KITI MPYA WA CHAMA CHA MAPINDUZI...
RAIS JOHN POMBE MAGUFULI  ACHAGULIWA KUWA M/KITI MPYA WA CHAMA CHA MAPINDUZI...
Comment on this post

About this blog

Kwa matangazo mbalinbali wasiliana nami kupitia, 0714260485,0759110974