Overblog
Edit post Follow this blog Administration + Create my blog
03 Jul

PAUL MAKONDA APIGA MARUFUKU VITU VITATU...

Published by elipidius geofrey  - Categories:  #HABARI

Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam RC Paul Makonda July 2, 2016, akizungumza kwenye kongamanola dini lilofanyika katika uwanja wa Taifa alipiga Marufuku vitu vitatu visionekane katika Mkoa wake wa Dar es salaam, alisema "Kwanza kwa watumiaji wa biashara ya sheesha katika maeneo ya Bar, club na sehemu zingine kuanzia leo ni marufuku katika maeneo hayo"
"Pili Ni marufuku kwa wavutaji wa sigara kwenye sehemu za wazi kwani wataalamu wamesema ule moshi unamadhiri yule asiyetumia hiyo sigara kuliko anayetumia sigara "
"Tatu Ni marufuku ushoga kwenye mkoa wangu wa Dar es salaam na mashoga wote walio kwenye Istagram na faceboock watakamatwa na wale wote wanaowafollow mashoga kwenye mitandao ya kijamii basi watakuwa na hatia kama ile ya mashoga" =Paul Makonda

STARZTZ

PAUL MAKONDA APIGA MARUFUKU VITU VITATU...
Comment on this post

About this blog

Kwa matangazo mbalinbali wasiliana nami kupitia, 0714260485,0759110974