Overblog
Edit post Follow this blog Administration + Create my blog
01 Jul

"NI KWELI HAWANA TATIZO?" DIAMOND AWEKA HESHIMA...

Published by elipidius geofrey  - Categories:  #VIJIMAMBO

Meneja wa diamond Platnumz, Babu Tale ameonyesha kuwa wao hawana tatizo na Alikiba baada ya kupost kipande cha video kinachoonyesha picha ya msanii huyo ndani ya studio ya wasafi Records. Ikiwa ni muda mrefu ikizungumzwa Diamond na Alikiba wana bifu mpaka kuanzishwa kwa team za mitandaoni za kukejeri mafanikio ya Wasanii wa team nyingine lakini hiyo ni dalili kuwa ipo siku itabaki Historia tu.

STARZTZ

"NI KWELI HAWANA TATIZO?" DIAMOND AWEKA HESHIMA...
Comment on this post

About this blog

Kwa matangazo mbalinbali wasiliana nami kupitia, 0714260485,0759110974