Overblog
Edit post Follow this blog Administration + Create my blog
11 Jul

MTOTO WA MIAKA MINNE AUAWA NA KUTUPWA KISIMANI...

Published by elipidius geofrey  - Categories:  #MATUKIO

Mtoto wa kike Raihima Salim Ali (4) amekutwa amekufa huku mwili wake ukiwa umening'inizwa kisimani na vidole vya mikono vimekatwa na mashavu kuchubuliwa. Tukio hili limetokea jana asubuhi katika eneo la Njia panda Mbagala, Temeke baada ya mtoto kutoweka nyumbani siku nne zilizopita. Akisema mama mzazi wa mtoto huyo alisema mtoto alipotea nyumbani gafra wakiwa wanaangalia televisheni.

STARZTZ

MTOTO WA MIAKA MINNE AUAWA NA KUTUPWA KISIMANI...
Comment on this post

About this blog

Kwa matangazo mbalinbali wasiliana nami kupitia, 0714260485,0759110974