Overblog
Edit post Follow this blog Administration + Create my blog
15 Jul

MBWANA SAMATA AENDELEA KUUWASHA MOTO ULAYA...

Published by elipidius geofrey  - Categories:  #MICHEZO

Mbwana Samatha ameendelea kuzishika headlines huko barani Ulaya baada kufunga kwenye Mechi yake ya kwanza ya kimataifa kwa ngazi ya klabu barani Ulaya. Usiku wa Julai 14 Genk ilikuwa inacheza dhidi ya Buducnost Podgorica Mchezo wa mtoano kuwania kufuzu kwenye michuano ya Europa katika Msimu huu wa 2016/2017. Pambano hilo liliisha Genk wakiibuka na ushindi wa bao 2-0.

STARZTZ

MBWANA SAMATA AENDELEA KUUWASHA MOTO ULAYA...
Comment on this post

About this blog

Kwa matangazo mbalinbali wasiliana nami kupitia, 0714260485,0759110974