Overblog
Edit post Follow this blog Administration + Create my blog
23 Jul

MACHANGU DOA WAMTEKA MWANDISHI WA HABARI NA KUOKOLEWA NA POLISI...

Published by elipidius geofrey  - Categories:  #VIJIMAMBO

Machangu wakiwa katika maeneo yao ya kazi "Mtaani" wamemteka mwandishi na mwandishi kuokolewa na Polisi usiku wa manane,ikiwa inasemekan kwamba alikuwa kwenye oparesheni maalumu, imesemwa kwamba amelazimishwa kufanya vitendo vichafu. Machangu nao waja juu wakisema Makonda hawawezi. Soma habari ii katika ukurasa wa 2 katika Gazeti la RISASI.

STARZTZ

MACHANGU DOA WAMTEKA MWANDISHI WA HABARI NA KUOKOLEWA NA POLISI...
MACHANGU DOA WAMTEKA MWANDISHI WA HABARI NA KUOKOLEWA NA POLISI...
Comment on this post

About this blog

Kwa matangazo mbalinbali wasiliana nami kupitia, 0714260485,0759110974