Overblog
Edit post Follow this blog Administration + Create my blog
04 Jul

INATISHA SANA, JAMAA AKUTWA NA KICHWA CHA BINADAMU...

Published by elipidius geofrey  - Categories:  #MATUKIO

Katika hali ya kushangaza wengi mwanaume mmoja ambaye ni mfanya biashara huko Mkoani Mbeya, amekutwa na kichwa cha binadamu baada ya kufukua kaburi na kuchukua kichwa cha marehemu, inadaiwa kuwa alifikia uamuzi huo ili afanikiwe kibiashara.

STARZTZ

INATISHA SANA, JAMAA AKUTWA NA KICHWA CHA BINADAMU...
Comment on this post

About this blog

Kwa matangazo mbalinbali wasiliana nami kupitia, 0714260485,0759110974