IGGY AFUNGUKA SABABU ZA YEYE KUMPIGA CHINI MPENZI WAKE...
Mahusiano ya Iggy na Nick yaliingia mtafaluku baada ya kuvuja kwa mazungumzo ya siri March 24, mwaka huu yaliyomhusisha Nick na Mchezaji mwenzake D'Angelo Russell wakiongea kuhusu kutongoza wanawake wengine.Aidha Juni 20, Iggy alitangaza kuvunja uhusiano wake na Nick na kuondoka kwenye nyumba waliokuwa wakiishi huko Angeles inayomilikiwa na mpenzi wake huyo.