Overblog
Edit post Follow this blog Administration + Create my blog
04 Jul

CHERSEA YATANGAZA KUKAMILISHA USAJILI MPYA...

Published by elipidius geofrey  - Categories:  #MICHEZO

Klabu ya Chelsea ambayo msimu ujao itaanza kunolewa na aliyekuwa kocha wa timu ya taifa ya Italia katika Michuano ya Euro 2016 Antonio Conte imetangaza rasmi kukamilisha usajili wa mshamnbuliaji wa kimataifa wa Ubelgiji alyekuwa anachezea Marseille Michy Batshuayi mwenye umri wa miaka 22.

STARZTZ

CHERSEA YATANGAZA KUKAMILISHA USAJILI MPYA...
Comment on this post

About this blog

Kwa matangazo mbalinbali wasiliana nami kupitia, 0714260485,0759110974