Overblog
Edit post Follow this blog Administration + Create my blog
01 Jul

BADO KIZAZAAA KWA ZAMARADI DHIDI YA SWALA LILE LA YULE SHOGA....

Published by elipidius geofrey  - Categories:  #VIJIMAMBO

Ni jumanne hii katika kipindi chake cha Take One aliporusha mahojiano ya mwanaume anayejihusisha na maswala ya ushoga au mapenzi ya jinsia moja, tena aliyekubuhu na ambaye maisha hayo kwake ameyakubali na anayafurahia hicho kimekuwa kipindi controversial kuliko vyote vilivyowahi kurushwa Clouds Tv.

STARZTZ

BADO KIZAZAAA KWA ZAMARADI DHIDI YA SWALA LILE LA YULE SHOGA....
Comment on this post

About this blog

Kwa matangazo mbalinbali wasiliana nami kupitia, 0714260485,0759110974