AUDIO: KALIBU UISIKILIZE NGOMA MPYA YA SNURA BAADA YA KUFUNGIWA CHURA...
Zikiwa zimepita siku kadhaa toka Msanii huyu wa bongo fleva Snura afungiwe nyimbo yake ya Chura, sasa amekuja na kitu kipya ngoma mpya inayoitwa 'Shindu' anatualika kuisikiliza hapa. hii hapa