Overblog
Edit post Follow this blog Administration + Create my blog
21 Jul

ALIKIBA NA BARAKA DA PRINCE WAVAMIWA NA MAJAMBAZI SOUTH AFRICA...

Published by elipidius geofrey  - Categories:  #MATUKIO

Hii ni taarifa kuhusu waimbaji wa Bongofleva Alikiba na Baraka Da Prince ambao wote wako chini ya Lebo ya Rockstar 4000, kuvamiwa na majambazi wenye siraha kali Afrika Kusini saa tatu usiku kwa saa za Afrika Mashariki July 20, 2016.

STARZTZ

ALIKIBA NA BARAKA DA PRINCE WAVAMIWA NA MAJAMBAZI SOUTH AFRICA...
ALIKIBA NA BARAKA DA PRINCE WAVAMIWA NA MAJAMBAZI SOUTH AFRICA...
Comment on this post

About this blog

Kwa matangazo mbalinbali wasiliana nami kupitia, 0714260485,0759110974