Overblog
Edit post Follow this blog Administration + Create my blog
04 Jul

ABDU KIBA ATOA UJUMBE HUU MZITO KWA LEBO YA WCB...

Published by elipidius geofrey  - Categories:  #MICHEZO NA BURUDANI

Akizungumza kipindi cha XXL cha Clouds FM, Msanii huyo ya Bongo fleva Abdu Kiba amesema 'Sjafikilia kuimba na msanii kutoka WCB, kwasababu sijaona anayeimba type ya muziki wangu.' Aliendela akidai kuwa lebo ya WCB inabebwa na Promotion na akasema "ata kama wana promote kwasababu ndiyo walipoona wao ndio wanaweza wakafanya na watu wakaweza kuelewa lakini siku zote ajuae hazami" alisema Abdu Kiba.

STARZTZ

ABDU KIBA ATOA UJUMBE HUU MZITO KWA LEBO YA WCB...
Comment on this post

About this blog

Kwa matangazo mbalinbali wasiliana nami kupitia, 0714260485,0759110974