Overblog
Edit post Follow this blog Administration + Create my blog
20 Jun

YANGA YAKUBALI KICHAPO CHA BAO 1-0 DHIDI YA MO BEJAIA...

Published by elipidius geofrey  - Categories:  #MICHEZO

Usiku wakuamkia June 20 Dar es salaam Young Africans walikuwa Algeria kucheza mchezo wao wa kwanza katika kundi A wa hatua nane bora dhidi ya wenyeji wao MO, katika Mechi hii Young Afrikans awalikubali kipigo cha bao 1-0.

STARZTZ

YANGA YAKUBALI KICHAPO CHA BAO 1-0 DHIDI YA MO BEJAIA...
Comment on this post

About this blog

Kwa matangazo mbalinbali wasiliana nami kupitia, 0714260485,0759110974