Overblog
Edit post Follow this blog Administration + Create my blog
22 Jun

WEMA ATAMANI KUKUTANA NA DIAMOND KUMALIZA TOFAUTI ZAO...

Published by elipidius geofrey  - Categories:  #VIJIMAMBO

Ni muda sasa umepita baada ya Diamond kuachana na Wema Sepetu, nani aliyekuwa hajui mahusiano ya Wema na Diamond? kwakweli atakuwa hayupo. Lakini yalikuja kuzima kama mshumaa na Diamond kutengana na Wema, hali hiyo imemchosha mwanadada Wema Sepetu na kuamua kutoa sauti yake ya ndani akisema'Natamani one day tuweze ata tuka kaa hivi nikamwambia bwana embu tuondokane na mambo haya yote whatever it is me nitakusupport, wewe ukinisupport wala usiponisupport sababu yule naye mswahili sana' Wema Sepetu alisema.

STARZTZ

WEMA ATAMANI KUKUTANA NA DIAMOND KUMALIZA TOFAUTI ZAO...
Comment on this post

About this blog

Kwa matangazo mbalinbali wasiliana nami kupitia, 0714260485,0759110974