Overblog
Edit post Follow this blog Administration + Create my blog
29 Jun

WATU WATANO, NA 13 KUJERUHIWA JIJINI MWANZA...

Published by elipidius geofrey  - Categories:  #MATUKIO

Watu watano wafariki dunia na 13 kujeruhiwa baada ya Ajali ya Basi lenye namba za usajili T. 449 BCB mali ya Kampuni ya Supper Sami lililokuwa likitoka Dar es salaam kwenda Mwanza. Ajali hiyo imetokea usiku wa kuamkia leo katika maeneo ya Bashini Kata ya Mabuki Wilaya ya Misungwi Mkoani Mwanza baada ya gari hilo kugonga jiwe na dreva wa gari hilo kushindwa kulimudu.

STARZTZ

WATU WATANO, NA 13  KUJERUHIWA JIJINI MWANZA...
Comment on this post

About this blog

Kwa matangazo mbalinbali wasiliana nami kupitia, 0714260485,0759110974