"UTAWALA WANGU SITAKI KULIMBIKIZA WATU VYEO, MBUNGE HAWEZI KUWA RC AU DC" RAIS MAGUFULI...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania John Magufuli ametangaza kuwa katika utawala wake hatateuwa Mbunge kuwa mku wa Mkoa au Wilaya. Amesema lengo ni kuboresha utendaji kazi na uwajibikaji kwamba "haiwezekani katika watanzania Mil. 50 tukose watu adi turudie watu vyeo, tunataka tuchape kazi kwa ufanisi na ufanisi hauwezi kuja kwa kumrundikia mtu vyeo".