SERIKALI YAENDELEA KUWA NA MSIMAMO WAKE JUU YA MAPENZI YA JINSIA MOJA YA MASHOGA NA WASAGAJI...
Akiongea mapema jana Mkuu wa wizara ya Katiba na Sheria Mhe. Amon Mpanju amesema mapenzi ya jinsia moja hayakubaliki na Serikali ilishaweka Msimamo wake katika hilo. aliyasema hayo katika mkutano wa wadau wa haki za binadamu uliofanyika katika hotel ya Blue Pearl wa kujadili mapendekezo ya tathmini ya utekelezaji wa maswala ya haki za binadanu.