Overblog
Edit post Follow this blog Administration + Create my blog
21 Jun

NYUMBA ZATEKETEA MOTO KATIKA KISIWA CHA UVUVI WILAYANI SENGEREMA...

Published by elipidius geofrey  - Categories:  #MATUKIO

Nyumba kadhaa za wakazi wa kisiwa cha Uvuvi cha Kome Mchangini Wilaya ya Sengerema Mkoani Mwanza zimeteketea kwa moto usiku wa kamkia leo. Akiongea kwa njia ya simu kutoka kisiwani humo Ofisa mtendaji wa kata ya Buhama, Musa Mwilomba amesema chanzo cha moto huo ni mkazi mmoja kuunguza Kunguni na Viroboto kwenye banda lake la Mbwa.

STARZTZ

NYUMBA ZATEKETEA MOTO KATIKA KISIWA CHA UVUVI WILAYANI SENGEREMA...
Comment on this post

About this blog

Kwa matangazo mbalinbali wasiliana nami kupitia, 0714260485,0759110974