Overblog
Edit post Follow this blog Administration + Create my blog
11 Jun

NIDA YAANZA KUTOA VITAMBULISHO VYENYE SAINI...

Published by elipidius geofrey  - Categories:  #HABARI

Kaimu mkuu wa kitengo cha mawasiliano Serikalini kutoka mamlaka ya vitambulisho vya Taifa (NIDA) Bi.Rose Mdami akiwaeleza waandishi wa habari jana jiji ni Dar es salaam kuhusu zoezila utoaji wa vitambulisho vipya vyenye saini ya mwenye kitambulisho. Kulia ni kaimu mkurugenzi uzalishaji vitambulisho Bw Alphonce Malibicha na kushoto ni kaimu Mkurugenzi Mifumo ya Kompyuta Bw. Mohamed Khamis.

STARZTZ

NIDA YAANZA KUTOA VITAMBULISHO VYENYE SAINI...
Comment on this post

About this blog

Kwa matangazo mbalinbali wasiliana nami kupitia, 0714260485,0759110974