Overblog
Edit post Follow this blog Administration + Create my blog
21 Jun

NI VITA KALI SASA KATI IRENE UWOYA NA KAJALA...

Published by elipidius geofrey  - Categories:  #VIJIMAMBO

Hii ni habari kunako Bongo movi Irene Uwoya na Kajala waanza kuwindana na kuingia kwenye vita kali kisa Mapenzi ya wasanii wa Bongo fleva. Chanzo kilicho chomoza juu ya wawili hawa Uwoya na Kajala ni baada ya Uwoya kumchukua mpenzi wa Kajala ambaye ni kigogo Serikalini jambo lililomkera na kulipiza kisasi kumchukua Msami Giovani.

STARZTZ

NI VITA KALI SASA KATI IRENE UWOYA NA KAJALA...
Comment on this post

About this blog

Kwa matangazo mbalinbali wasiliana nami kupitia, 0714260485,0759110974