Overblog
Edit post Follow this blog Administration + Create my blog
21 Jun

MSONGAMANO MIKUMI WACHANGIA ONGEZEKO LA VVU...

Published by elipidius geofrey  - Categories:  #HABARI

Imeelezwa kuwa mamlaka ya mji mdogo wa Mikumi imekuwa na msongamano wa watu magari ya mizigo kutoka ndani na nje ya Nchi Agnes Mgonja amesema hayo alipokuwa akizungumza namna ya kusaidia wakazi wanaoishi katika maeneo ya barabara likiwemo eneo la Mikumi.

STARZTZ

Comment on this post

About this blog

Kwa matangazo mbalinbali wasiliana nami kupitia, 0714260485,0759110974