Overblog
Edit post Follow this blog Administration + Create my blog
10 Jun

MSANII RAYMOND AANZA KUTAMBA NA PESA ZAKE...

Published by elipidius geofrey  - Categories:  #VIJIMAMBO

Wakati raia mtaani wakilalamika kuhusu ukata wa hela toka Rais Magufuli aingie madarakani Msanii kuoka katika lebo ya wasafi (WCB) ameonyesha mabunda ya pesa zake kwa kupost picha hii Instagram.

STARZTZ

MSANII RAYMOND AANZA KUTAMBA NA PESA ZAKE...
Comment on this post

About this blog

Kwa matangazo mbalinbali wasiliana nami kupitia, 0714260485,0759110974