Overblog
Edit post Follow this blog Administration + Create my blog
19 Jun

MKALI WA BONGO MOVIE HEMED AFUNGUKA HAYA MAZITO 'MADHARA YA KUTOKA NA MASTAA'...

Published by elipidius geofrey  - Categories:  #VIJIMAMBO

Muuza sura kwenye filamu za bongo movie, HEmed Suleiman 'Hemed PHD' amefunguka akisema japo ni staa na mtu maarufu Tanzania lakini hajafikilia au kutaka kuwa na m ahusiano ya kimapenzi na staa yeyote wa bongo. Akipiga stori na Risasi Jumamosi PHD aliongeza kuwa madhara ya kutoka na mastaa kimapenzi husababisha vyombo vya habari kukumulika mda wote kitendo ambacho yeye binafsi hapendi a kusema kwamba yeye anafuata misingi ya dini na kuamini kwamba mapenzi ni suala binafsi na haliitaji kushereheshwa na watu.

STARZTZ

MKALI WA BONGO MOVIE HEMED AFUNGUKA HAYA MAZITO 'MADHARA YA KUTOKA NA MASTAA'...
MKALI WA BONGO MOVIE HEMED AFUNGUKA HAYA MAZITO 'MADHARA YA KUTOKA NA MASTAA'...
Comment on this post

About this blog

Kwa matangazo mbalinbali wasiliana nami kupitia, 0714260485,0759110974