Overblog
Edit post Follow this blog Administration + Create my blog
22 Jun

MGOMBEA URAIS MAREKANI DONALD TRUMP ANUSULIKA KUUWAWA...

Published by elipidius geofrey  - Categories:  #MATUKIO

Mwanaume mmoja wa Uingereza anatuhumiwa kupola bunduki ya Afisa mmoja wa polisi katika Mkutano wa kisiasa wa Donald Trump na kutaka kumuuwa Mgombea huyo. Kwa mujibu wa Stakabadhi za Mahakama Michael Sandford anasema kuwa ameendesha gari hadi Las Vegas akiwa na nia ya kumpiga Risasi Donald Trump siku ya Jumamosi.

STARZTZ

MGOMBEA URAIS MAREKANI DONALD TRUMP ANUSULIKA KUUWAWA...
Comment on this post

About this blog

Kwa matangazo mbalinbali wasiliana nami kupitia, 0714260485,0759110974