Overblog
Edit post Follow this blog Administration + Create my blog
05 Jun

MENEJA BABU TALE AFUNGKA HAYA MAZITO JUU YA WASANII WAKE KUWA NA MAHUSIANO YA KIMAPENZI NA WANAWAKE WANAO WAZIDI...

Published by elipidius geofrey  - Categories:  #VIJIMAMBO

Hii ni baada ya Kambi ya WCB kuonekana wasanii wake kutoka kimapenzi na wanawake wanaowazidi umri, Babu Tale ametweleza haya 'Sisi tunameneji wasanii hatumeneji hisia zao, lakini ikitokea msanii amempenda mwanamke fulani tunamuacha kwasababu ni mapenzi yake' alisema Tale 'Tunaona ni bahati kwa wasanii wetu kupata wanawake wanaowazidi umri, hiyo ni bahati (anacheka) kwasababu wanamuenzi Mtume Muhammad (s.a.w.w.) alimuoa Bi Khadija ambaye alimzidi umri'.

STARZTZ

MENEJA BABU TALE AFUNGKA HAYA MAZITO JUU YA WASANII WAKE KUWA NA MAHUSIANO YA KIMAPENZI NA WANAWAKE WANAO WAZIDI...
Comment on this post

About this blog

Kwa matangazo mbalinbali wasiliana nami kupitia, 0714260485,0759110974