Overblog
Edit post Follow this blog Administration + Create my blog
28 Jun

LULU MAHAKAMA INAMUITA KWA MAKOSA YA MTANDAO...

Published by elipidius geofrey  - Categories:  #VIJIMAMBO

Mwigizaji wa filamu za Bongo muvi Lulu Michael yupo mbioni kupambana na mkono wa sheria kwa makosa ya kutoa lugha za matusi kwa mwandishi wa Habari wa Global Publishers baada ya kumuuliza swali lililotaka ufafanuzi wake ikiwa ni siku chache tangu alipofanya hivyo kwa mwandishi mwingine wa Kampuni hiyo.

STARZTZ

LULU MAHAKAMA INAMUITA KWA MAKOSA YA MTANDAO...
Comment on this post

About this blog

Kwa matangazo mbalinbali wasiliana nami kupitia, 0714260485,0759110974