Overblog
Edit post Follow this blog Administration + Create my blog
30 Jun

JIKE AMPA MAKAVU SHILOLE, SOMA HAPA UJUE NINI ALISEMA...

Published by elipidius geofrey  - Categories:  #VIJIMAMBO

Huyu ni mwanadada aliyefanya vizuri kama Video Qeen wa wimbo wa msanii Nuh Mziwanda, Jike Shupa aitwaye Zena Abdallah akizungumza katika mahojiano rasmi msichana huyo alisema hapendi na anakasirishwa na watu wanaomfananisha na staa huyo (Shilole) wa muziki, akidai hafanani naye kwani yeye ni mzuri na msafi na shilole ni mchafu.

STARZTZ

JIKE AMPA MAKAVU SHILOLE, SOMA HAPA UJUE NINI ALISEMA...
Comment on this post

About this blog

Kwa matangazo mbalinbali wasiliana nami kupitia, 0714260485,0759110974