Overblog
Edit post Follow this blog Administration + Create my blog
16 Jun

IBRA DA HUSTLER AFUNGUKA HAYA JUU YA MSICHANA JOKATE...

Published by elipidius geofrey  - Categories:  #VIJIMAMBO

Rapper huyu wa kundi la Nako 2 Nako, Ibrah Da Hustler amesema staa wa kike anaetamani kuwa na mahusiano nae ni Jokate Mwegero.Hustler amesema kuwa Jokate ana kila sifa anazozitaka kutoka kwa mwanamke amemwagia sifa za kumwaga "Choice yangu kama kudate na kastaa ka Bongo katakuwa kale kabinti kanakoitwa Jokate Mwegero"

STARZTZ

IBRA DA HUSTLER AFUNGUKA HAYA JUU YA MSICHANA JOKATE...
Comment on this post

About this blog

Kwa matangazo mbalinbali wasiliana nami kupitia, 0714260485,0759110974