Overblog
Edit post Follow this blog Administration + Create my blog
28 Jun

DOGO JANJA AWAJIBU WANAOMBEZA DIAMOND KWA KUKOSA TUZO YA BET...

Published by elipidius geofrey  - Categories:  #VIJIMAMBO

Ni msanii wa hip hop kutoka katika Tip top cennection Dogo Janja amewataka mashabiki katika mitandaoya kijamii kuacha kumbeza Diamond kwa madai ya yeye kukosa tuzo, aliendelea akisema "Unajua watu walikuwa wanamatarajio makubwa sana na tuzo lakini mwisho wa siku tukubali kushinda na kushindwa" aliongeza akisema "Diamond bado ni mshindi alikuwa Mtanzania pekee, kwahiyo huu sio wakati wa kumbeza, tumtie moyo ili aendelee kupambana zaidi".

STARZTZ

DOGO JANJA AWAJIBU WANAOMBEZA DIAMOND KWA KUKOSA TUZO YA BET...
DOGO JANJA AWAJIBU WANAOMBEZA DIAMOND KWA KUKOSA TUZO YA BET...
Comment on this post

About this blog

Kwa matangazo mbalinbali wasiliana nami kupitia, 0714260485,0759110974