Overblog
Edit post Follow this blog Administration + Create my blog
30 Jun

CLOUDS WAJIPALIA MKAA KWA KURUSHA KIPINDI CHA USHOGA, MAKONDA AWATETEA...

Published by elipidius geofrey  - Categories:  #VIJIMAMBO

Ni katka kipindi cha Take One cha Clouds kinachoendeshwa na Zamaradi Mketema akiwa anamhoji shoga maarufu jijini Dar es salaam.zamaradi alijitetea akidai nia yake haikuwa mbaya kwani alijua ni tatizo lililokuwa linasumbua kwa muda mrefu Nchini, kwahiyo alihititaji mahojiano na wahusika bila kificho juu ya tatizo hilo. Hata hivyo Jumatano hii clouds imelazimka kufanya kile kinachojulikana kama 'Damage control' kujalibu kufafanua kwa wananchi kwanini ilikuwa sawa kuwa na kipindi kama hicho.
"suala hili ukilitazama postively utapata kujifunza mengi sana, hiki ni kipindi cha toba na kuhamasishana mema na kuacha mabaya, hili ni baya na lazima tulipige vita na ulikemea na tusiwaangalie mashoga pekee ila na wale wanaoshirikina nao ambao tuko nao ndani ya jamii" alisema Zamaradi kwenye kipindi cha 360 cha kituo hicho alipohojiwa kueleza kwanini aliamua kufanya mahojiano na mtu huyo.

STARZTZ

CLOUDS WAJIPALIA MKAA KWA KURUSHA KIPINDI CHA USHOGA, MAKONDA AWATETEA...
Comment on this post

About this blog

Kwa matangazo mbalinbali wasiliana nami kupitia, 0714260485,0759110974