Overblog
Edit post Follow this blog Administration + Create my blog
27 Jun

CHADEMA WATAFUTA NJIA MBADARA BAADA YA RAIS MAGUFULI KUTAKA SIASA ZIFANYWE 2020 (WAKATI WA UCHAGUZI UJAO)...

Published by elipidius geofrey  - Categories:  #HABARI

Chama cha Demockrasia na maendeleo (CHADEMA) Kanda ya Pwani kinatafakari ni atua gani ya kufuata baada ya Rais John Magufuli kutaka siasa za nguvu zifanyike wakati wa Uchaguzi mkuu ujao kauri inayotafsiriwa kuwa ni kupiga marufuku shughuli za Kisiasa.
Rais litoa kauli hiyo mapema wiki iliyopita wakati akipokea taarifa ya Uchaguzi mkuu (NEC) na kusisitiza juzi wakati wa Hafla ya kuzindua mpango wa Polisi wa kuboresha huduma za usalama wa Jamii.

STARZTZ

CHADEMA WATAFUTA NJIA MBADARA BAADA YA RAIS MAGUFULI  KUTAKA SIASA ZIFANYWE 2020 (WAKATI WA UCHAGUZI UJAO)...
Comment on this post

About this blog

Kwa matangazo mbalinbali wasiliana nami kupitia, 0714260485,0759110974