Overblog
Edit post Follow this blog Administration + Create my blog
09 Jun

Bonta akumbushia Mwl Nyerere alivyogoma kukutana na Muhammad Ali Dar...

Published by elipidius geofrey  - Categories:  #MATUKIO

Ikiwa ni katika kipindi ambacho Dunia inaendelea kuomboleza kifo cha aliyekuwa Bingwa wa zamani wa Masumbwi wa uzito wa juu Muhammad Ali, raper wa Bonta anatukumbusha historia fupi, Muhammad Ali alikuja mwaka 1980 lakini alijikuta kukutana na waziri mkuu pekeyake huku Mwalimu Nyerere akigoma kuonana nae je, ni kwanini?? "Enzi hizo aliyekuwa Waziri mkuu alikuwa ni Salim Ahmed Salim na sababu ya yeye ufika hapa ni kwa lengo la mashindano ya Olimpiki yaliyokuwa yanafanyika Russia na yeye akiwa kama Mmarekani alitumwa kutoka Marekani"

STARZTZ

Bonta akumbushia Mwl Nyerere alivyogoma kukutana na Muhammad Ali Dar...
Comment on this post

About this blog

Kwa matangazo mbalinbali wasiliana nami kupitia, 0714260485,0759110974