Overblog
Edit post Follow this blog Administration + Create my blog
09 Jun

BAJETI 2016/2017 WASANII, WABUNIFU NA WANAMICHEZO WATENGEWA BILIONI 3...

Published by elipidius geofrey  - Categories:  #HABARI

Serikali itatenga kiasi cha shilingi Bilioni tatukusaidia kazi za Wasanii,wabunifu na wanamichezo. Kiasi hicho kimependekezwa kwenye makadilio ya mapato na matumizi ya fedha kwa mwaka 2016/2017 kama yalivyowasilishwa na na Waziri wa Fedha na mipango Dkt Philip Mpango.

STARZTZ

BAJETI 2016/2017 WASANII, WABUNIFU NA WANAMICHEZO WATENGEWA BILIONI 3...
Comment on this post

About this blog

Kwa matangazo mbalinbali wasiliana nami kupitia, 0714260485,0759110974