Overblog
Edit post Follow this blog Administration + Create my blog
07 May

YAZUKA MIJADARA MINGI DHIDI YA PICHA ALIZOPOST YOUNG DEE..

Published by elipidius geofrey  - Categories:  #VIJIMAMBO

Usiku wa kuamkia May 6, 2016 Paka Rapa Young Dee alipost picha akiwa anavuta kitu kwenye ukurasa wake wa Instagram, ambapo mashabiki wake walitafsiri ni bangi na kuanza kumporomoshea Coments kuwa analekea kuwa kama Chidi Benz.

STARZTZ

YAZUKA MIJADARA MINGI DHIDI YA PICHA ALIZOPOST YOUNG DEE..
Comment on this post

About this blog

Kwa matangazo mbalinbali wasiliana nami kupitia, 0714260485,0759110974