Overblog
Edit post Follow this blog Administration + Create my blog
14 May

WEMA SEPETU NA MABUSU YA UKWELI KWENYE HII FILAMU MPYA CHEKI HAPA...

Published by elipidius geofrey  - Categories:  #VIJIMAMBO

Ukiwa Muigizaji kubali yote. Kuna scenes ambazo zitakuitaji upiane busu na mtu ambaye sio mpenz wako na aliyecheza kama mpenzi wako ili kupata uhalisia wa tukio huna budi kubarishana mate kwenye screen. Sasa hii imetokea kwa Wema Sepetu ambapo kuna clip iliyowekwa Instagram anaonekana akibusuna Muigizaji Mchanga Koko Byanko kama kweli utadhani ni wapenzi.

STARZTZ

WEMA SEPETU NA MABUSU YA UKWELI KWENYE HII FILAMU MPYA CHEKI HAPA...
Comment on this post

About this blog

Kwa matangazo mbalinbali wasiliana nami kupitia, 0714260485,0759110974