Overblog
Edit post Follow this blog Administration + Create my blog
03 May

WAZIRI DK. AUGUSTINO MAHINGA, AMEZUNGUMZIA SAKATA LA MKE WAKE NA ASKARI WA KIKOSI CHA USALAMA BARABARANI...

Published by elipidius geofrey  - Categories:  #VIJIAMBO

Dkt. Mahiga alisema kwamba mke wake alipishana kauli na askari huyo aliyeahamika kwa jina la Deogratius Mbango, na hakutoa Lugha ya matusi kama inavyodaiwa, alisema baada ya kupokea taarifa hiyo, alifuatilia ili kujua ukweli, ikiwemo kusikiliza sauti ya majibizano baina ya askari huyo na mkewe.

STARZTZ

WAZIRI DK. AUGUSTINO MAHINGA, AMEZUNGUMZIA SAKATA LA MKE WAKE NA  ASKARI WA KIKOSI CHA USALAMA BARABARANI...
Comment on this post

About this blog

Kwa matangazo mbalinbali wasiliana nami kupitia, 0714260485,0759110974