Overblog
Edit post Follow this blog Administration + Create my blog
07 May

VIDEO:WABUNGE WANAWAKE WAPINGA KUITWA 'BABY'...

Published by elipidius geofrey  - Categories:  #HABARI

Umoja wa wanawake UKAWA watoka nje ya Ukumbi wa Bunge Dodoma baada ya jana Mbunge wa Ulanga Goodluck Mlinga kusema kuwa 'Wabunge wote wa viti maalum CHADEMA iliwapate nafasi hizo nilazima waitwe kwanza 'Baby' kauli iliyopingwa na baadhi ya wabunge.

STARZTZ

VIDEO:WABUNGE WANAWAKE WAPINGA KUITWA 'BABY'...
Comment on this post

About this blog

Kwa matangazo mbalinbali wasiliana nami kupitia, 0714260485,0759110974