Overblog
Edit post Follow this blog Administration + Create my blog
24 May

VIDEO: HARMONIZE NDANI YA PENZI ZITO NA JACKLINE WOLPER IKIWA...

Published by elipidius geofrey  - Categories:  #VIJIMAMBO

Mwigizaji Jackline Wolper wa Bongo Movie yuko penzini na Mwimbaji Harmonize mwanamuziki wa Bongofleva anayetokea katika lebo ya WCB inayomilikiwa na Diamond Plutnumz, wapenzi hawa wawili hawakusita kuonyesha pendo lao adharani wakati wa Birthday party ya Mtoto wa Mosse Iyobo na Aunty Ezekiel.

STARZTZ

VIDEO: HARMONIZE NDANI YA PENZI ZITO NA JACKLINE WOLPER IKIWA...
Comment on this post

About this blog

Kwa matangazo mbalinbali wasiliana nami kupitia, 0714260485,0759110974