Overblog
Edit post Follow this blog Administration + Create my blog
29 May

STAA WEMA SEPETU ATOA UJUMBE MZITO HUU KUHUSU KUANIKA MAMBO YAKE MTANDAONI...

Published by elipidius geofrey  - Categories:  #VIJIMAMBO

Dar es salaam huitaji kuzunguka kwenye mapoli unapolitaja jina la Staa Wema Sepetu kwasababu anafahamika na watu wengi ndani na nje ya Nchi. Kutokana na kwamba amependa kila kitu chake kutupia mtandaoni inaonekana watu kujadili mendine yasiyo kama kawaida ya walimwengu kuzusha. Wema Sepetu amedai amekoma kuanika mambo yake Mtandaoni.

STARZTZ

STAA WEMA SEPETU ATOA UJUMBE MZITO HUU KUHUSU KUANIKA MAMBO YAKE MTANDAONI...
Comment on this post

About this blog

Kwa matangazo mbalinbali wasiliana nami kupitia, 0714260485,0759110974