Overblog
Edit post Follow this blog Administration + Create my blog
27 May

STAA WA MUZIKI WA BONGO FLEVA MALKIA EXAVERY YAMKUTA MAKUBWA HAYA...

Published by elipidius geofrey  - Categories:  #MATUKIO

Malaika anayetamba na wimbo wa Raruararua hivi kalibuni yalimkuta makubwa baada ya Gari yake aina ya Toyota Harrier Lexus kunasa kwenye matope na kushindwa kutoka akiwa huko Kigamboni akiwa anatoka kurekodi. ameeleza kisa hicho akisema yeye hakuwa na taarifa zozote wala habari zozote kuhusu ile njia kuwa na matope. alisema "kila mtu alinionea huruma ila namshukuru Mungu kuna Gari lilitokea na kunivuta" Malaika.

STARZTZ

STAA WA MUZIKI WA BONGO FLEVA MALKIA EXAVERY YAMKUTA MAKUBWA HAYA...
STAA WA MUZIKI WA BONGO FLEVA MALKIA EXAVERY YAMKUTA MAKUBWA HAYA...
Comment on this post

About this blog

Kwa matangazo mbalinbali wasiliana nami kupitia, 0714260485,0759110974